Usimlaani mfalme, la, hata katika wazo lako;Wala usiwalaani wakwasi chumbani mwako;Kwa kuwa ndege wa anga ataichukua sauti,Na mwenye mabawa ataitoa habari.