Heri kwako, nchi, mfalme wako akiwa mtoto wa watu,Na wakuu wako hula wakati ufaao, Ili makusudi wapate nguvu, wala si kwa ajili ya ulevi.