Mainzi mafu huvundisha marhamu ya mwuza marashi;Kadhalika upumbavu haba ni mzito kuliko hekima na heshima.