Mdo 9:40 Swahili Union Version (SUV)

Petro akawatoa nje wote, akapiga magoti, akaomba, kisha akaelekea yule maiti, akanena, Tabitha, ondoka. Naye akafumbua macho yake, na alipomwona Petro akajiinua, akaketi.

Mdo 9

Mdo 9:31-43