Mdo 9:15 Swahili Union Version (SUV)

Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.

Mdo 9

Mdo 9:6-16