Mdo 8:22 Swahili Union Version (SUV)

Basi, tubia uovu wako huu, ukamwombe Bwana, ili kama yamkini, usamehewe fikira hii ya moyo wako.

Mdo 8

Mdo 8:19-31