Mdo 8:12 Swahili Union Version (SUV)

Lakini walipomwamini Filipo, akizihubiri habari njema za ufalme wa Mungu, na jina lake Yesu Kristo, wakabatizwa, wanaume na wanawake.

Mdo 8

Mdo 8:2-22