Mdo 7:45 Swahili Union Version (SUV)

ambayo baba zetu, kwa kupokezana, wakaiingiza pamoja na Yoshua katika milki ya Mataifa wale, ambao Mungu aliwafukuza mbele ya baba zetu, mpaka siku za Daudi;

Mdo 7

Mdo 7:35-52