nawe ulinena kwa Roho Mtakatifu kwa kinywa cha babaetu Daudi, mtumishi wako,Mbona mataifa wamefanya ghasia,Na makabila wametafakari ubatili?