Mdo 4:17-19 Swahili Union Version (SUV)

17. Lakini neno hili lisije likaenea katika watu, na tuwatishe wasiseme tena na mtu awaye yote kwa jina hili.

18. Wakawaita, wakawaamuru wasiseme kabisa wala kufundisha kwa jina la Yesu.

19. Petro na Yohana wakawajibu wakawaambia, Kwamba ni haki mbele za Mungu kuwasikiliza ninyi kuliko Mungu, hukumuni ninyi wenyewe;

Mdo 4