Mdo 27:2 Swahili Union Version (SUV)

Tukapanda katika merikebu ya Adramitio iliyokuwa tayari kusafiri mpaka miji ya pwani za Asia, tukatweka; Aristarko, Mmakedonia wa Thesalonike, akiwa pamoja nasi.

Mdo 27

Mdo 27:1-10