Mdo 26:30-32 Swahili Union Version (SUV)

30. Mfalme na liwali na Bernike na wale walioketi pamoja nao wakasimama;

31. hata walipoondoka wakasemezana, wakisema, Mtu huyu hatendi neno linalostahili kifo wala kufungwa.

32. Agripa akamwambia Festo, Mtu huyo angeweza kufunguliwa, kama asingalitaka rufani kwa Kaisari.

Mdo 26