Mdo 26:29 Swahili Union Version (SUV)

Paulo akamjibu, Namwomba Mungu kwamba, ikiwa kwa machache au ikiwa kwa mengi, si wewe tu ila na hao wote wanaonisikia leo wawe kama mimi, isipokuwa vifungo hivi.

Mdo 26

Mdo 26:23-32