Mdo 26:10 Swahili Union Version (SUV)

nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu.

Mdo 26

Mdo 26:7-18