Mdo 24:15 Swahili Union Version (SUV)

Nina tumaini kwa Mungu, ambalo hata hao nao wanalitazamia, ya kwamba kutakuwa na ufufuo wa wafu, wenye haki na wasio haki pia.

Mdo 24

Mdo 24:14-24