Mdo 22:29 Swahili Union Version (SUV)

Basi wale waliokuwa tayari kumwuliza wakaondoka wakamwacha. Na yule jemadari naye akaogopa, alipojua ya kuwa ni Mrumi, na kwa sababu amemfunga.

Mdo 22

Mdo 22:25-30