Mdo 21:30 Swahili Union Version (SUV)

Mji wote ukataharuki, watu wakakutanika mbio mbio, wakamkamata Paulo, wakamkokota, wakamtoa hekaluni; mara milango ikafungwa.

Mdo 21

Mdo 21:20-35