Maana Daudi hakupanda mbinguni; bali yeye mwenyewe anasema,Bwana alimwambia Bwana wangu,Keti upande wa mkono wangu wa kuume.