Mdo 19:40 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana tuna hatari ya kushitakiwa kwa ajili ya matata haya ya leo, ambayo hayana sababu; na katika neno hilo, hatutaweza kujiudhuru kwa mkutano huu.

Mdo 19

Mdo 19:37-41