Mdo 19:32 Swahili Union Version (SUV)

Basi wengine walikuwa wakilia hivi na wengine hivi; kwa maana ule mkutano ulikuwa umechafuka-chafuka, na wengi wao hawakuijua sababu ya kukusanyika kwao pamoja.

Mdo 19

Mdo 19:27-37