Mdo 17:3 Swahili Union Version (SUV)

akiyafunua na kuwaeleza ya kwamba ilimpasa Kristo kuteswa, na kufufuka katika wafu; na ya kwamba, Yesu huyu ninayewapasha ninyi habari zake ndiye Kristo.

Mdo 17

Mdo 17:1-7