Mdo 16:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Basi akafika Derbe na Listra, na hapo palikuwa na mwanafunzi mmoja jina lake Timotheo, mwana wa mwanamke Myahudi aliyeamini; lakini babaye alikuwa Myunani.

2. Mtu huyo alishuhudiwa vema na ndugu waliokaa Listra na Ikonio.

Mdo 16