Baada ya mambo haya nitarejea,Nami nitaijenga tena nyumba ya Daudi iliyoanguka.Nitajenga tena maanguko yake,Nami nitaisimamisha;