Mdo 14:27-28 Swahili Union Version (SUV)

27. Hata walipofika wakalikutanisha kanisa, wakawaeleza mambo yote aliyoyafanya Mungu pamoja nao, na ya kwamba amewafungulia Mataifa mlango wa imani.

28. Wakaketi huko wakati usiokuwa mchache, pamoja na wanafunzi.

Mdo 14