Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana,Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa,Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.