Mdo 13:27 Swahili Union Version (SUV)

Kwa maana wakaao Yerusalemu, na wakuu wao, kwa kuwa hawakumjua yeye, wala maneno ya manabii yanayosomwa kila sabato, wameyatimiza kwa kumhukumu.

Mdo 13

Mdo 13:19-31