Lk. 9:42 Swahili Union Version (SUV)

Alipokuwa katika kumwendea, pepo akambwaga chini, akamtia kifafa. Yesu akamkemea pepo mchafu, akamponya mtoto, akamrudishia babaye.

Lk. 9

Lk. 9:34-52