Lk. 8:39 Swahili Union Version (SUV)

Rudi nyumbani kwako, ukahubiri yalivyo makuu Mungu aliyokutendea. Akaenda zake, akihubiri katika mji wote, yalivyo makuu mambo aliyotendewa na Yesu.

Lk. 8

Lk. 8:32-40