Lk. 5:10 Swahili Union Version (SUV)

na kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washirika wa Simoni. Yesu akamwambia Simoni, Usiogope, tangu sasa utakuwa ukivua watu.

Lk. 5

Lk. 5:4-19