kama ilivyoandikwa katika chuo cha maneno ya nabii Isaya;Sauti ya mtu aliaye nyikani,Itengenezeni njia ya Bwana,Yanyosheni mapito yake.