Lk. 3:23-38 Swahili Union Version (SUV)

23. Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,

24. wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,

25. wa Matathia, wa Amosi, wa Nahumu, wa Esli, wa Nagai,

26. wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,

27. wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,

28. wa Melki, wa Adi, wa Kosamu, wa Elmadamu, wa Eri,

29. wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi,

30. wa Simeoni, wa Yuda, wa Yusufu, wa Yonamu, wa Eliakimu,

31. wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi,

32. wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni,

33. wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,

34. wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,

35. wa Serugi, wa Ragau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,

36. wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,

37. wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,

38. wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.

Lk. 3