Lk. 22:47 Swahili Union Version (SUV)

Basi alipokuwa katika kusema, tazama, mkutano wa watu, na yule aitwaye Yuda, ambaye ni mmoja wa wale Thenashara, amewatangulia. Akamkaribia Yesu ili kumbusu.

Lk. 22

Lk. 22:38-48