Akawakazia macho akasema, Maana yake nini basi neno hili lililoandikwa,Jiwe walilolikataa waashi,Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni?