Lk. 2:45-47 Swahili Union Version (SUV)

45. na walipomkosa, wakarejea Yerusalemu, huku wakimtafuta.

46. Ikawa baada ya siku tatu wakamwona hekaluni, ameketi katikati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali.

47. Nao wote waliomsikia walistaajabia fahamu zake na majibu yake.

Lk. 2