Lk. 18:41-43 Swahili Union Version (SUV)

41. Wataka nikufanyie nini? Akasema, Bwana, nipate kuona.

42. Yesu akamwambia, Upewe kuona; imani yako imekuponya.

43. Mara hiyo akapata kuona, akamfuata, huku akimtukuza Mungu. Na watu wote walipoona hayo walimsifu Mungu.

Lk. 18