Lk. 18:22 Swahili Union Version (SUV)

Yesu aliposikia hayo alimwambia, Umepungukiwa na neno moja bado; viuze ulivyo navyo vyote, ukawagawanyie maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha, njoo unifuate.

Lk. 18

Lk. 18:20-23