Lk. 17:20 Swahili Union Version (SUV)

Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza;

Lk. 17

Lk. 17:17-22