Lk. 14:33-35 Swahili Union Version (SUV)

33. Basi, kadhalika kila mmoja wenu asiyeacha vyote alivyo navyo, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

34. Chumvi ni kitu chema; lakini chumvi ikiwa imeharibika, itiwe nini ikolee?

35. Haiifai nchi wala jaa; watu huitupa nje. Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.

Lk. 14