Lk. 13:1 Swahili Union Version (SUV)

Na wakati uo huo walikuwapo watu waliompasha habari ya Wagalilaya wale ambao Pilato alichanganya damu yao na dhabihu zao.

Lk. 13

Lk. 13:1-3