Lk. 12:45 Swahili Union Version (SUV)

Lakini, mtumwa yule akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia kuja, akaanza kuwapiga wajoli wake, wanaume kwa wanawake, akila na kunywa na kulewa;

Lk. 12

Lk. 12:37-50