Law. 9:22 Swahili Union Version (SUV)

Kisha Haruni akainua mikono yake na kuielekeza kwa hao watu, akawabariki; kisha akashuka akisha isongeza sadaka ya dhambi, na sadaka ya kuteketezwa, na sadaka za amani.

Law. 9

Law. 9:17-24