Law. 8:29 Swahili Union Version (SUV)

Kisha Musa akakitwaa kile kidari, akakitikisa huku na huku, kiwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA; ni sehemu ya Musa katika huyo kondoo mume wa kuwaweka wakfu; kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Law. 8

Law. 8:27-30