Law. 7:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Na sheria ya hiyo sadaka ya hatia ni hii; ni takatifu sana.

2. Wataichinja sadaka ya hatia pale pale waichinjapo sadaka ya kuteketezwa; na damu yake atainyunyiza katika madhabahu pande zote.

3. Katika sadaka hiyo atasongeza mafuta yake yote; yaani, mkia wake wenye mafuta, na mafuta yafunikayo matumbo,

Law. 7