Law. 21:17 Swahili Union Version (SUV)

Nena na Haruni, umwambie, Mtu awaye yote wa kizazi chako wewe katika vizazi vyao, aliye na kilema, asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.

Law. 21

Law. 21:7-22