Law. 19:8 Swahili Union Version (SUV)

lakini kila mtu atakayekula atauchukua uovu wake mwenyewe, kwa sababu amekinajisi kitu hicho kitakatifu cha BWANA; na nafsi hiyo itakatiliwa mbali na watu wake.

Law. 19

Law. 19:1-16