Law. 19:36 Swahili Union Version (SUV)

Mizani ya haki, vipimo vya haki, efa ya haki, hini ya haki, ndivyo mtakavyokuwa navyo. Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri.

Law. 19

Law. 19:30-37