Law. 19:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. BWANA akanena na Musa, akamwambia,

2. Nena na mkutano wote wa wana wa Israeli, uwaambie, Mtakuwa watakatifu; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wenu, ni mtakatifu.

Law. 19