Law. 18:1-2 Swahili Union Version (SUV) BWANA akanena na Musa, na kumwambia, Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.