Law. 16:32 Swahili Union Version (SUV)

Na kuhani atakayetiwa mafuta na kuwekwa wakfu badala ya baba yake, ataufanya huo upatanisho, naye atayavaa mavazi ya kitani, yaani, yale mavazi matakatifu.

Law. 16

Law. 16:25-33