Law. 14:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Kisha BWANA akanena na Musa, na kumwambia,

2. Hii ndiyo sheria ya mwenye ukoma, katika siku ya kutakaswa kwake; ataletwa kwa kuhani,

Law. 14